Small space

blogger templates

No body is perfect bwana, na ndio maana tunahitaji kusaidiana, jiko hili lime pangiliwa vizuri na inaonyesha kuwa hana space kubwa, ila ukija kwenye utande wa dinning table anahitaji msaada. Sio vibaya kubandika picha kwenye fridge ila zisizidi maana zitakuwa ni uchafu wako wanaoweka remainder za kazini, za vyakula, ama message kwa wasichana wa kazi.

0 Response to "Small space"

Posting Komentar