FORONYA ZA MITO YA CHINI.....PAMOJA NA MITO YAKE......

 Foronya zinapatika pamoja na mito yake ya kukalia chini.... size ni 70 by 70. ... foronya ni 15,000. Na mto ni 45,000. Karibuni wote...... ...

KIOO NA PICHA ZA UKUTANI ZIKIWA ZIMEFIKA KWA MTEJA.....

Picha za ukutani zikiwa nyumbani kwa mteja wetu.. aliweka kwenye korido yake.....ukiingii kutoka mlango wa mbele unakutana nazo.... Tujitahi...

MITO YA SOFA NA MITO YA CHINI.....YOTE NI KUTOKA HOMEZ DECO...

 Tulitengeneza mito pamoja na foronya zake.... mteja alitaka color combo.... Ukiangalia kwa pembeni kulia kuna mito ya floor. .. Karibuni mt...