Popote pale mazingira yanaweza kuhifadhiwa vizuri na kutunzwa vizuri. (Mrs. Jossyanne in Lushoto - Tanzania)

Lushoto nilikupenda sana, kwa kila kitu kwa hiyo wananchi wenzangu tupunguze tarumbeta tufanye kazi , tuelimishane khs mazingira wapendwa, ...

HIZO NI BAADHI YA SEHEMU AMBAZO TULISHIRIAKIAN ANAO NA KUWAELIMISHA(MRS. JOSSYANNE IN LUSHOTO - TZ)

Niliwapa mikakati jinsi ya kufanya na Ila nilikuta baadhi ya bustani wameishapanda maua na miti ila tulisadiaana nao baadhi vitu. na kuelimi...
INTERNET PROBLEM

INTERNET PROBLEM

Hi all,  napenda kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa kuwa kimya muda wote huo, tulikua na problem ya internet na internet provider wangu al...

Hues from Dastakar Nature Bazaar 2010

Craft Bazaars and Melas have a special place in my heart, the colourful ambience with India's rich art & crafts displayed by artisan...
Nyufa kwenye ukuta wa makazi yetu

Nyufa kwenye ukuta wa makazi yetu

Nimepata experience ya kua nyumba nyingi kabla hata ya mwaka zinakua zina ufa, eidha ni kuanzia chini ama juu. Hii ni kutokana na kua mafund...
Arusha Work Photos,

Arusha Work Photos,

Ndugu wadau napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha kua, sitaweza kuwawekea picha ya kazi ya Arusha kama nilivyoahidi, Sababu ni kua mteja mw...