Kwa mahitaji ya maua ya garden, kwa bei nzuri. fika ......

wakati natoka sala sala nilipitia hii njia ya chini ya jeshini, kabla hujafika nyumba za B.O.T kuna vijana wamejiajiri wanauza maua, miche, ...

Saloon hii pia niliikuta huko huko Sala sala ndio wanakaribia kuifungua, nikapenda arrangment yake, iko bara barani kabisaaaa

Last week nilitembelea Sala sala - nikakutana na hii nyumba,

Nilipewa historia yake, na nikaambiwa kuwa ilianza kujengwa tokea mwaka 1983, yaani ina miaka sawa na mimi. Nikajifunza kua ukiweka malengo ...