Last week nilitembelea Sala sala - nikakutana na hii nyumba,

blogger templates

Nilipewa historia yake, na nikaambiwa kuwa ilianza kujengwa tokea mwaka 1983, yaani ina miaka sawa na mimi. Nikajifunza kua ukiweka malengo hutimia, haijalishi ni lini utamaliza, pole pole ndio mwendo.

0 Response to "Last week nilitembelea Sala sala - nikakutana na hii nyumba,"

Posting Komentar