Sio kweli ukishapanda miti ama majani ndio umemaliza kazi.....

  Kuna  garden maintenances, lazima zifanyike na kila mara, kama vile plunings,  trimming,   cutting downs un wanted tree limbs , gardens il...

Mbolea ya black mulch kwa ajili ya mimea

    Hii mbolea inaitwa black mulch, mbolea hii hutokana na miti iliyokatwa ama kudondoka, majani yaliyodondoka, wanyama waliogongwa barabara...