Hii mbolea inaitwa black mulch, mbolea hii hutokana na miti iliyokatwa ama kudondoka, majani yaliyodondoka, wanyama waliogongwa barabarani, ama kufa, kwa ufupi mizoga....miti ya x-mass ikiisha muda wa kutumia, inakusanywa na kiwanda huisika hupita kukusanya, ni mbolea nzuri sana kwa mimea, maua miti majani, nk, na ina rutuba sana kwenye mimea ya aina yote. Husaidia sana, kuifahidhi maji, ardhini kwa muda mrefu, sana hata wakati wa jua kali.
Tunaitumia kwa wingi sisi ma landscapers, in northern states, i am not sure in southern states, ila kwa ujamla ni mbolea yenye rutuba sana.
Huku kwetu, hatutupi vitu....hua vinakusanywa na kutengeneza vitu vingine.....na pia inasaidia sana sana, kuweka jiji safi....
Mimi binafsi hua ninafikiria kipindi cha x-mass ile miti ingekua inakusanywa , ama hiyo mizoga barabarani na kutengeneza hii mbolea, na ingesaidia ajira kwetu sisi watanzania pia.....
From:
Mrs. Jossyanne
Landscaper
USA
0 Response to "Mbolea ya black mulch kwa ajili ya mimea"
Posting Komentar