Nyumba Iliyopakwa rangi za Dulux, Ndani na nje.... Nyumba ni mpya....

blogger templates


 Hii ni nyumba iliyopakwa rangi za Dulux....tulitumia rangi kwenye ukuta wa nje inaitwa Mohawk Valley litres 25, na kwenye hizo balcon zote mbili na kona za kwenye nyumba, rangi inaitwa Beige Sand Litres 10 ndio iliyotumika....
 Hili ni sink la nje na bafu la nje ambalo tumetumia rangi ya Mohawk Valley litres 5...
 Ukuta huu wa nje
 Ukuta wote huu kuzunguka nyumba tumetumia rangi ya Beige Sand ndoo 4. (kila ndoo ni litres 20)
 Nyumba hii ina vyumba 3 vya kulala, jiko, public toilet, dinning, sitting room, na corridor kama inavyoonekana....Nyumba hii yote rangi za ndani ilitumia ndoo 3 ambayo ni litres 60.. za rangi.....Silk, wash 'n' ware
 Ukuta wa nje....kama unavyoonekana...

Nyumba kwa upande wa ubavuni.....


Tunakushuru mteja wetu kwa kutumia rangi zetu za Dulux, na wewe mweyewe umejionea matumizi yake ya rangi kua yanakwenda kidogo.

NB:
Kwa kutumia rangi za Dulux, huwezi kugombana na fundi rangi, kua amekuibia ama etc......Rangi unatumiakidogo, nani nzuri zina muonekano mzuri......

Tunawakaribisha wadau wetu wote mje kutumia rangi hizi na muone mabadiliko ya utumiaji wa rangi hizi.....

Tuwasiliane kwa email ama simu muda wowote......

Karibuni......

0 Response to "Nyumba Iliyopakwa rangi za Dulux, Ndani na nje.... Nyumba ni mpya...."

Posting Komentar