Mimi ninaamini sisi Watanzania hatuna choyo, kwenye upande wa kuelimishana

blogger templates

Jamani nadhani mnaikiria hili swala la kuandika application na cv ni la mzaha eti?

Niliomba msaada na tu sheee hizi aidia ya jinsi gani tuandike ila cha kushangaza nimepata moja tuuu. ina maana Tanzania ina mtu mmoja? au ndio yale mambo ya ku ignore na kuona kila mtu anajua?

Tuko ambao hatujui na tunataka kuelimishwa ,tunaomba mchango wako wa hali na mali. Ila silazimishi,

THIS IS A SERIOUS ISSUE AND IT'S NOT A JOKE

Rgds,

Sylvia

0 Response to "Mimi ninaamini sisi Watanzania hatuna choyo, kwenye upande wa kuelimishana"

Posting Komentar