Utamu wa pipi ni mate yako.......hahahhahha Jaydan my son, sasa tuko na pipi za vijiti na chama- snacks kuelekea valentine's day...,,,,,

blogger templates







hahahahaha, hahahaah,  utamu wa pipi mate yako, yaani mate yalikua yanamtoka jayd wangu acha tuuu,,,, hahahaahah. nina post hizi picha sina mbavu, kwa kweli, nimempiga hizi picha utadhani nilikua nikimuambia awe ana pose tofauti, hahhaa, haya siku hizi tunakula kila kitu, yaani tuko sambamba kwa kweli, chakula cha kusaga hataki so tunapunguza kumsagia chakula.

Jaydan anapenda kuwa wish happy valentine's day to all of you........we love you......

0 Response to "Utamu wa pipi ni mate yako.......hahahhahha Jaydan my son, sasa tuko na pipi za vijiti na chama- snacks kuelekea valentine's day...,,,,,"

Posting Komentar