Kitanda cha chuma..... 5 by 6, Kazi ya Homez Deco four poster....

blogger templates

 fundi akiandaa neti,... tunashona neti pia..... neti ni shs. 100,000/-. ni ya kitanda cha 5 by 6, na neti ya kitanda cha 6 by 6 ni 150,000/-. Kitanda cha four poster ni shs. 450,000/-


 mafundi waki fix kitanda...
 neti ikiwekwa, kwa mbali Phide akimsaidia fundi kuweka neti.


Kitanda kiko tayari sasa, hizo chuma za pembeni zinatoka, hiyo ni kwa ajili ya mtoto zinamzuia asidondoke akiwa amelala, zinachomoka kwa urahisi.

Karibuni sana kwa mahitaji ya net na vitanda vya chuma......

0 Response to "Kitanda cha chuma..... 5 by 6, Kazi ya Homez Deco four poster...."

Posting Komentar