Zawadi ya bi harusi mtarajiwa.......

blogger templates

Zawadi ilikua ni kitanda, stool, na dressing table....alikabidhiwa katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na familia....

inapendeza kwa kweli, hasa ukimzawadia mtarajiwa, vitu vinavyodumu kwa kweli....

nawatakia kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa....

0 Response to "Zawadi ya bi harusi mtarajiwa......."

Posting Komentar