Picha hapo juu tukitandika kitanda, na kukiweka tayari, tulishirikiana kuweka mambo sawa, na tuliwahisha zawadi kwa muda walioniambia....
Hapo juu, nikiwa nawasubiria walete mashuka tuweze kutandika na niwakabidhi.....
Hapa nikifunga neti kwenye miguu ya kitanda......
neti ipachikwa kwenye kitanda...ni rahisi kuwekwa.......
Dressing table.....
Seti ya harusi........
Tukiandaa seti ya zawadi ukumbini....
Napenda kuwatakia kila la kheri maharusi katika maisha yao ya ndoa.......
Tunapenda kuwakaribisha wote ambao wangependa kuwapa zawadi maharusi ya fanicha za chuma.... karibu, na tuwasiliane kwa mahitaji hayo....
0 Response to "Hii ilikua ni zawadi ya send off..... siku ya tarehe 3/8/2012"
Posting Komentar