Kazi ya Homez Deco-Kreative Homez, Site- Mbezi Beach.....

blogger templates










Ni vitanda vya four poster, design 2 tofauti, na wengi wenu mmekua na maswali kua vitanda hivi vinakuaje na je kama ni imara, jibu ni kua vitanda ni imara tena kuliko mbao, maana mbao asilimia kubwa zinaliwa na wadudu;
Ukubwa wa vitanda hivi ni 4 by 6, na tumeweka godoro la 4 by 6 inch 8....(hatutoa karatasi za godoro maana bado kuna kazi zinaendelea......yasichafuke) na godoro waweza kuweka lolote lile kulingana na uwezo wako na kukapendeza.
Karibuni sana mtoe orders......

0 Response to "Kazi ya Homez Deco-Kreative Homez, Site- Mbezi Beach....."

Posting Komentar