Stop Killing Animals .........Asante mdau wangu Eva kwa kunitumia pictures hizi.....

blogger templates
Haya ndio matokeo ya wanyama hawa baada ya kuuliwa, halafu mi nadhani hawa wanyama wengi wao wanatokea Afrika jamani ama nyie wenzangu mnasemaje? Kweli furniture ni nzuri lakini jee tutaendelea kuua mpaka lini? Na ukiuliza bei ya hizi furniture jamani hara u save mara ngapi mshahara wako haufiki kununulia hizi furniture kwa jinsi zinavyokua ghali, lol .........It's tooo sad ..............
























0 Response to "Stop Killing Animals .........Asante mdau wangu Eva kwa kunitumia pictures hizi....."

Posting Komentar