Next week on 3/3/2010 itakuwa ni birthday yangu.

blogger templates
Ninayo furaha kubwa kubwa wiki ijayo ni birthday yangu na ninamtukuzu Mungu muweza wa yote kwa kunipa nafasi ya kuishi mpaka sasa, kwani ni wengi wamesha tangulia mbele ya haki. Kwa hilo namshukuru Mungu.

Niko kwenye maandalizi ni wapi nikasherehekeee though it will be dinner like and something small, nitawajulisha ili tujumuike wote, na tufahamiane kwa wale mtakao jaaliwa kuja. Nawashukuru woteee

0 Response to "Next week on 3/3/2010 itakuwa ni birthday yangu."

Posting Komentar