Hiyo design ya hiyo miti ni big no kuwapo hapo

blogger templates

Naomba ifahamike kuwa sio kila maua ama miti yanafaa kuwekwa ndani, ona kama hii, haijapendeza kabisa, sasa basi wakati unaweka maua ndani kua mwangalifu wa kuchagua, na pia weka kwenye mwanga ili yasinyauke, na inashauriwa at least uwe unabadilisha kila baada ya siku 3.

0 Response to "Hiyo design ya hiyo miti ni big no kuwapo hapo"

Posting Komentar