Hata sehemu za bihashara, zinatakiwa kuwa na mpangilio mzuri usafi, huu ndiyo mpangilio wa wenzetu, ktk dealership zao nilivutiwa sana, na mpangilio huo, hata DAR Inawezekana wenye sehemu za bihashara mbalimbali wakaweka mpangilio mzuri wa kuvutia.na sila zima uwe na eneo kubwa ndiyo uwe msafi la asha hata eneo dogo linaweza kuvutia nakuwa safi.
Senin, 15 April 2013
0 Response to "Gardening: UJUMLA KIBIHASHARA, MAKAZI YA WATU MAOFSINI NA SEHEMU NYINGINEZO"
Posting Komentar