Baadhi ya rangi za nje ambazo unaweza kuzipata hapa Homez Deco....Rangi za Dulux Karibuni

blogger templates

Ukiangalia nyumba hizi naamini hautaweza kukosa rangi unayoipenda ama hata jinsi ya kutumia rangi zaidi ya moja kwenye nyumba yako ama ofisi kwa upande wa nje.....Ule wakati wa kupaka nyumba rangi moja pekee umepitwa na wakati.......tumia rangi zaidi kwa muonekano mzuri, rangi zilizopooza.....Tuna catalogue yenye sample za rangi 3200....kwa hapa kuwezi kukosa hata kama ukija na sample yako itatengenezwa kulingana na upendavyo......





Baadhi ya nyumba ambazo tunaziona zumetumia rangi ambazo zimepooza na zikapendeza pia.......




Kwa mahitaji ya rangi za dulux wasiliana nasi, rangi hizi zinabana matumizi na zinadumu ukutani bila kupauka kwa muda wa miaka 8 tangu umepaka......




0 Response to "Baadhi ya rangi za nje ambazo unaweza kuzipata hapa Homez Deco....Rangi za Dulux Karibuni"

Posting Komentar