Our work, hii ilikua alhamisi na ijumaa last week.... Curtain poles....

blogger templates










Kazi hii ilifanyika siku mbili, maana umeme ulikatika, na kazi hii iko awamu mbili, nyumba ndio mpya wamehamia, so wameanza na hizo curtain poles, halafu tutakuja maliza na mapazia etc....... ukipanga kila kitu kinawezekana, ....... tutawaletea awamu ya pili, vyumbani rangi ya ukuta ni green, na sitting room, dinning, corridor ni butter scotch....

Baada ya kazi, ninajiandaa kuondoka, yaani nywele ni tim tim, so ndio ninajiweka fresh hapa........

Niko tayari sasa kwa kuondoka, katika kazi zangu hua ni lazima niwepo, kuhakikisha kila kitu kimekwenda sawa na kwa wakati............ Tunasubiri pazia sasa........... nakushukuru mteja wangu........ Tulikua mbagala-Kijichi.


NB: Hua ninapiga picha katika kila kazi zangu, na kuwaletea hapa na zingine ninaweka kwenye album/portfolio file. sasa kuna wateja wengine wamekua wakikataa nisipige picha kazi zangu, ila ninachotaka kuwaomba na kuwaambia ni kwamba, hua sitaji ni nyumba ya nani wala kutoa details, kwa ajili ya usalama, na kama ningekua sipigi picha, nadhani nisingekua ninapata kazi, na nisingekua na picha hizo za waliokubali nifanye kazi. napenda kuwashukuru wale wote wanaokubali nipige picha, na ninaendelea kuwaelimisha wale wote ninaofanya nao kazi, kua kupiga picha kazi zangu mnakua mnanisaidia.

0 Response to "Our work, hii ilikua alhamisi na ijumaa last week.... Curtain poles...."

Posting Komentar