After........Living room transformation @ Tabata.......(Nakushukuru mteja wangu wa Tabata.... )

blogger templates





Sina mengi ya kuongea...sofa ni L-shape na 2 sitter moja ila kila kitu kina wezekana ukijipanga, hapa tumeanza na sofa.... tutakuja mapazia, then decorations...... ambapo rangi hii ya sofa, inakubali kutupia pillows, na throws color yoyote ile........
Mbao tunazo, sponges zipo... etc,

Dunia ni yako, Chaguo ni lako...

(Ukiamua kuvaa, nyumba ikafuata,ama, ukiamua kutengeneza nyumba, then kuvaa kutafuataa.... uamuzi ni wako)

Haujachelewa kupanga ratiba ya nini cha kubadilisha nyumbani kwako......

Tuwasiliane, kwa ushauri, huduma zetu......

Regards
Sylvia a.k.a mama Jaydan....

NB: Kazi hii ilichukua wiki moja na nusu,, na kama kawaida ya Homez Deco,, tuna Time Frame..... Alipata muda tuliokubaliana........
Mtanisamehe kwa picha, ila ninajitahidi kupiga eheeee, so mungu akipenda  nitatafuta professional photographer apige kazi zangu.....



0 Response to "After........Living room transformation @ Tabata.......(Nakushukuru mteja wangu wa Tabata.... )"

Posting Komentar