TO ALL MOTHER TO BE............

blogger templates

Ninaomba tu share hii mada nanyi. Kuna hii website inaitwa http://www.babycenter.com ni website ya watoto na inakueleza nini chakufanya kuanzia mimba ikiwa changa, jinsi ya kusave (hii especially to single mothers like me) na pia ina calculate na kukujulisha kua ujauzito wako una muda gani na mtoto kafikia stage gani, nini ule etc. kwa kweli ni mambo mengi sana.

Karibuni muione na kujisomea.

NB: kama una maoni, ushauri, na pia mawazo tafadhali usisite kunitumia email kwa address hii: sylvianamoyo@yahoo.com ili tuweze kuwekana sawa na wenzetu. nami nitazi post kwenye blog yetu hii.

Wishing u all the best through this period. Mother to be.....

0 Response to "TO ALL MOTHER TO BE............"

Posting Komentar