Fundi wa jiko la gas anahitajika.... kwa yeyote anayemjua fundi mzuri tunaomba contacts zake tumsaidie mdau mwenzetu

blogger templates

Mdau mwenzetu Ndera, anaomba msaada wa  fundi wa jiko la gas. Anaomba wadau wanaofahamu wanipatie namba ya simu niwasiliane naye kupitia blog hii.

Asanteni

0 Response to "Fundi wa jiko la gas anahitajika.... kwa yeyote anayemjua fundi mzuri tunaomba contacts zake tumsaidie mdau mwenzetu"

Posting Komentar