Makabati ya jikoni

blogger templates



Ukiweka vitu kwa mpangilio inawezekana kabisaaa, na inapendeza, jikoni sio tena ndio kwa kurusha rusha vitu, weka vitu kwa mpangilio kadri uwezavyo, na baada ya kutumia virudishie sehemu yake, hata kama unapika osha chombo chako kiweke kiweke kikauke then kirudishie kabatini, Ona mpangilio huu, ni rahisi na inapendeza kwa kweli.

0 Response to "Makabati ya jikoni"

Posting Komentar