Hii ni kwako Praxeda, I hope nimekujibu,

blogger templates




Hi Praxeda, nimelifanyia kazi ombi lako, na kama unavyoona, katika color zako, unaweza kuchanganya rangi zako ambazo ni white, brown, ukaongezea na orange, light blue, black, na pakapendeza pia. Huwa ninawaambia kua ukijiamini kwenye rangi basi patapendeza. Nakutakia siku njema.

0 Response to "Hii ni kwako Praxeda, I hope nimekujibu,"

Posting Komentar