Muendelezo wa kazi za Mrs. Jossyane ni baadhi ya sehemu ambazo tunaenda majumbani na kufanya kazi hse organizang na kupanga vitu mbalimbali

blogger templates



Inabidi watu waelewe vizuri kuwa na nyumba ni vizuri ila lazima kuwepo mpangilio mzuri wa vitu, kuanzia vyumbani makabati ya nguo dresser, etc
siyo tena vitu vinarundikana, uchafu, nguo zinakuwa kwenye marundo zimetapakaa kila kona wakina mama wakina dada hata wakina baba usafi ktk nyumba ni jukumu la kila mmoja, hata watoto, wafundishwe kuweka nguo zao, vitu vyao ktk hali ya usafi siyo tena nyumba inageuzwa dampo la vitu, pia tujifunze kuwa na vitu vichache na vyenye kwenye mpangilio, mzuri nimeonyesha uwekzaji wa nguo ktk makabati wakina baba wakina kaka, muangaie hapo uwekaji wa tai zenu suluali nk, na mpangilio wa bedroom kw ujumla ikumbukwe kamba nusu ya maisha yako uwa ni chmbani kwako lazima ulale kwenye kitanda kisafi kilichotndkwa vizuri fungua madirisha upate hewa safi hewa chafu marudikano wa vitu chumbani unaweza kupta magonjwa mbalimbali usafi kwa kila nyumba ni muhimu,na kwa kila familia na si suala la mama peke yake hata nyinyi wakona baba na watoto wote mnajukumu, la kuweka nyumba safi,

0 Response to "Muendelezo wa kazi za Mrs. Jossyane ni baadhi ya sehemu ambazo tunaenda majumbani na kufanya kazi hse organizang na kupanga vitu mbalimbali"

Posting Komentar