Kwa maharusi watarajiwa!!!!!!

blogger templates
Hizi ni design za mito ya kuwekea pete za ndoa, je wewe ume plan kuweka pete zako kwenye nini?( Huwa naona maharusi wengi wakati wa kutoa pete huwa zinatoka mifukoni ama kwenye pochi) THAT IS OLD FASHION








0 Response to "Kwa maharusi watarajiwa!!!!!!"

Posting Komentar