Rangi ni koti ya kukinga ama kulinda..(it's a protective coating)
Rangi imetengenezwa kutokana na mchanganyiko wa malighafi., na inaweza kupakwa kwa kutumia brashi, rola au kwa kupuliza, na itakapo kauka inakamata ama kushikana vizuri na sehemu uliyoipakana hivyo kupendezesha na kukinga sehemu hiyo.......
Sasa basi rangi sio tuu hupendezesha kuta zetu bali hata kukinga.......
Ukiangalia mchoro wetu hapo chini utaona ni jinsi gani rangi inakua na mchanganyiko mpaka kuitwa rangi.....
- Malighafi
- viendelezi
- Gundi
- Viyeyushi
- Viongezo
Sasa kazi iko hapa kwenye picha ya chini....Tofauti ya utengenezwaji wa rangi......
Katika picha ya kwanza huu ndio utengenezwaji unaostahili wa rangi, na ndipo unapopata rangi imara na yenye mvuto na kuvutia yaani inavigezo vyote vinavyostahili......
Katika picha ya pili inatuonesha rangi liyotengenezwa kiuhafifu, na kua na malighafi hafifu ndipo unapopata matizo ya rangi kupauka, ama kubanduka etc.....
Vitu vya kuangalia unapohitaji kununua rangi......
- Uzuri na uimara wa rangi ukutani
- Uwezo mzuri wa kutochunika
- Muonekano unaovutia wa rangi na mn'gao wake
- Gharama ya rangi ukilinganisha na uwezo wake wa kudumu
- Vitu tofauti vinahitaji rangi tofauti
- Malengo pia ni tofauti kulingana na rangi
- Hudhibitishwa na njia ya utumiaji
- Muda wa kukauka
- Hali tofauti
- Mionekano tofauti
- Gharama tofauti kulingana na quality ya rangi.
Katika research niliyofanya nimegundua kwamba.. wengi wetu tujenga/kupanga nyumba nzuri na kununua fanicha za gharama, lakini upande wa rangi tunaudharau ama kutojua na nyumba hukosa mvuto ule uliokua unautegemea kwa kutumia rangi zisizokua na ubora......ama kwa kutojua au kwa kuogopa gharama.......
Ifike kipindi sasa nyumba, fanicha vindane na rangi ulizozipaka ukutani mwako.....
LET'S GO FOR QUALITY PAINTS AND NOT FOR QUANTITY PAINTS.....
Uamuzi ni wako.....kurudia kupaka rangi kila baada ya miezi 6 ama mwaka ama kununua rangi quality na ukae miaka 8 - 10 bila kupaka rangi na haipauki ama kuchunika.
Nunua rangi quality kama ulivyojenga nyumba yako...nikiwa nina maana Umekula ng'ombe mzima mkia unashindwa kumaliza.......
Mfumo wa rangi unaohitaji kuzingatia:
- Matayarisho (preparations)
- Praima (primer)
- Koti ya rangi ya mwanzo (under coat)
- Mpako wa mwisho (top coat)
Rangi zetu za DULUX ni quality, hazichanganywi na maji, na sio rahisi kuzifanyia ujanja rangi zetu.....maana zitajulikana na hua zinapatikana kwa dealers tuuuuu huwezi zikuta kwengine kokote......
Waliozitumia wameweza kutuelezea jinsi zilivyo nzuri na matumizi yake yalivyo mazuri......
KUMBUKA DAIMA SAFISHA NA PAKA SIO PAKA NA SAFISHA.
Kwa mahitaji ya rangi za dulux za ndani na za nje, zinapatikana Homez Deco....wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565 email:sylvianamoyo@yahoo.com
Ushauri pia tunatoa......
0 Response to " Rangi bora na imara kwenye nyumba/ofisi yako......"
Posting Komentar