Kwa sisi landscapers ndiyo wakati wa kupanda, kutayarisha, bustani za aina mbalimbali,za maua, bushes,grasses, mowing the lawns, kwa wapenzi wa maua na bustani wa blog ya home décor,
nataka kuwakumbusha kwamba kupanda maua miti bushers hii yote inategemea, hali ya hewa ya mahali unapoishi, kwa mfano maua ambayo tunayapanda new York kwa Tanzania ynasitawi Lushoto, Arusha Iringi na Bukoba kwa kuwa, ni hali ya hewa ya hii mikoa ni ya baridi pia na mvua za mara kwa mara, mikoa yenye jua wakati wote na mvua kaisi kama Dar, pwani, Mtwara na mikoa mingineyo , pia nayo ina aina Fulani za maua ambayo yanasitahimili jua mikoa yenye jua wakati wote maua ambayo yanastawi ni begonia, Bougainvillea, hibiscus, marigold, daylilies na African violet, lilies tigers na mengine mengi tu.
Haya hapa ni baadhi ya maua yanayoweza kukua vizuri katika mikoa yenye jua ambayo nimetaja hapo juuu:
Daylily.
African violets
Bougainvillea
french marigold
Begonia
0 Response to "It's spring time in New York....."
Posting Komentar