Viatu.....

blogger templates










Kuna baadhi ya wadau waliniuliza na kunisifia viatu nilivyovaa siku ya ubatizo, nashukuru sana, ninapenda kuchukua nafasi hii kuwaelekeza duka nililonunua viatu vyangu, na hivyo hapo juu ni baadhi tuu ya viatu walivyonavyo.....

Duka liko kinondoni makaburini, kama unatokea town basi ingia kulia kama unakwenda kwa john fedha - bamboo bar mwanzoni . kuna maduka yako mkono wa kulia, duka namba 6 limeandikwa TERRYTEVIS ama piga simu namba 0715 - 350912.

Kizuri kula na wenzio..........

0 Response to "Viatu....."

Posting Komentar