Duka linalouza wallpaper hapa Dar-Es-Salaam

blogger templates


Nimefanikiwa kuliona duka linalouza wallpapers, maana niliombwa sana sana na wadau niwajulishe ni wapi wanauza wallpapers.

Duka hili liko nyuma ya billicanas club, kuna round about na shell ya bp, hilo duka linatazamana na hiyo shel linaitwa Dolson...

Karibuni sana.....

0 Response to "Duka linalouza wallpaper hapa Dar-Es-Salaam"

Posting Komentar