Tunashona Mapazia, foronya za mito - Bei karibu na bureeeeeeee

blogger templates

Baada ya ukimya wa muda mrefu, nimerudi toka maternity leave, Kreative Homez - Homez Deco, tunayo furaha kuwatangazia kua sasa tuna shona mapazia ya design yoyote ile, eg. maofisini, majumbani etc. iwe ni materials zako ama ni za kwetu,

Gharama ni ya kawaida kabisa, Mafundi wetu wanakuja kupima maana hatupokei vipimo vya mteja mwenyewe, kuepuka lawama, na tunakuja kufitisha sisi wenyewe.

Tunawakaribisha, wote, wa mikoani pia tunakuja mkituhitaji.

Kwa sasa duka limehamia kinondoni studio, barabara mpya karibu na sterio bar.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0 Response to "Tunashona Mapazia, foronya za mito - Bei karibu na bureeeeeeee"

Posting Komentar