Baby Jaydan - 2 month old (hapa hatujaanza maziwa ya kopo) tukianza jeee hahahahahah - tuna 6kg.

blogger templates






Namshukuru Mungu kwa kunikuzia mtoto wangu, na nawashukuru wote wadau wangu kwa kunivumilia kwa kipindi cha ulezi, asante sana, Sasa nimerudi tena mzigoni. Karibuni sana sana.

0 Response to "Baby Jaydan - 2 month old (hapa hatujaanza maziwa ya kopo) tukianza jeee hahahahahah - tuna 6kg."

Posting Komentar