Hongera mteja wangu wa Kigamboni.

blogger templates
Mnakumbuka siku si nyingi nilitoa article niliyo decorate chumba cha mtoto na theme ya deco ilikua ni unisex, kule kigamboni? Mteja wangu huyu amebarikiwa kupata mtoto wa Kike. Hongera sana na mungu awabariki na kuwatia nguvu katika kulea mtoto wenu. Love uuuuuuu.....

0 Response to "Hongera mteja wangu wa Kigamboni."

Posting Komentar