FORONYA ZA MITO....NA DECORATIONS ZA MEZA YA TV.....

blogger templates
 Mteja wetu alitaka colorfull...foronya kwa ajili ya sofa yake..hivyo akatoa oda na tukamtengenezea....
 Decorations pia....hizo za red and green...ni kutoka homez deco.....napenda kushauri kua....meza za tv tusiziache tupu...tuweke decor....zinasaidia sana kupata muonekano mzuri wa sebule yako.....
Kwa mahitaji ya decor...foronya....mito...wasiliana nasi 0713920565.....mikoani tunatuma...
Nb: tu follow instagram @homezdeco

0 Response to "FORONYA ZA MITO....NA DECORATIONS ZA MEZA YA TV....."

Posting Komentar