MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......
Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote......
kuna baadhi ya watu hutumia stoo kuweka chakula sabuni etc... vya mwezi mzima....hivyo basi ni lazima kuwe kusafi na kuweza kufanya wadudu wasiweze kuingia na kuharibu vyakula hivyo....
tumia mbao za kawaida....kutengeneza shelves hizi....
0 Response to "MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......"
0 Response to "MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......"
Posting Komentar