TUNAOMBA JIBU LA SWALI LAKE KWA MDAU MWENZETU........

blogger templates
Naomba mnisaidie jinsi ya kuosha madumu( vyombo) vya kuhifazia maji, nimetumia njia mbali mbali but naona bado ile rangi ya kijani imekataa kutoka, yanaoneka machafu kweli coz ni meupe na mkono haupenyi ndani..
thanx, mdau wa Arusha.



0 Response to "TUNAOMBA JIBU LA SWALI LAKE KWA MDAU MWENZETU........"

Posting Komentar