Tumejiandaaje na sikukuu....ya Xmass na Mwaka mpya....

blogger templates





Hizi ni baadhi ya mapambo, katika sikukuu ya xmass na mwaka mpya hua tunapamba, haijalishi nyumba ni kubwa ama ni ndogo,,,unachotakiwa ni kupamba kulingana na ukubwa wa nyumba yako,,,,hizi ni baadhi ya picha ambapo unaweza jionea kwa jinsi zilivyopambwa.....

Kuna miti ya xmass, mito, kuna zawadi zinazokaa chini ya miti.....na mapambo mengine....

0 Response to "Tumejiandaaje na sikukuu....ya Xmass na Mwaka mpya...."

Posting Komentar