Msaada wa ujasiriamali....Ndugu wadau nakaribisha ushauri, mawazo tuweze kumsaidia mdau mwenzetu....Maana mimi sina uzoefu kwa upande wa biashara ya nguo.......

blogger templates
Mambo Sylvia, Hongera kwa kazi nzuri na elimu unayotupatia. Mimi nimekuwa napita kwa blog yako kila siku,
nahitaji ushauri wako wa kijasiriamali...
Nataka nifanye biashara ya nguo za watoto na kina dada tu toka nje ya nchi..
Natafuta mtu mkweli na mwaminifu wa kunipa maelekezo na misaada ya jinsi ya kufanya nikifika huko kwa watu hasa China / Hongkong,
na je natakiwa kuwa na mtaji wa sh. ngapi? Maana bado mgeni kwenye biashara. Please help me my dia dada.

0 Response to "Msaada wa ujasiriamali....Ndugu wadau nakaribisha ushauri, mawazo tuweze kumsaidia mdau mwenzetu....Maana mimi sina uzoefu kwa upande wa biashara ya nguo......."

Posting Komentar