Homez Deco - Kreative Homez....... Kazi yetu.... Site ilikua kigamboni.....

blogger templates

Haya nikiwa kwenye kazi yangu, kwa furaha sana sana.... asante mteja wangu kwa kufurahia kazi yangu......Tunaleta mpaka nyumbani...... Karibuni.....

Dressing table......

Fundi akitayarisha vioo, vya kuweka kwenye dressing table na side table...... yaani kitanda kilipendeza sana, sijisifii ili nyumba ilipendeza,


Hiki ni four poster, kitanda

Chaga zikiwekwa, wengi wamekua wakiuliza chaga zinakua ni zipi? jibu ni kua, chaga ni za mbao, nani imara sana vitanda hivi, ......
Mafundi wakifunga vitanda...

0 Response to "Homez Deco - Kreative Homez....... Kazi yetu.... Site ilikua kigamboni....."

Posting Komentar