Mrs. Jossyanne is in Town....

blogger templates
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kua Jossyanne yuko nchini, na yuko tayari kushirikiana nasi kwa kipindi atakachokuwepo.

Hivyo basi kwa maswali, maoni etc... mnakaribishwa kuuliza... na mtapata majibu. issue zote za landscaping & gardening....

Na napenda kuchukua fursa hii kwa kuomba radhi kwa kuwa kimya kutokana tatizo lililotupata.

Asante kwa kutuvumilia,.....

Sylvia
Director.......

0 Response to "Mrs. Jossyanne is in Town...."

Posting Komentar