We have made it to 2012.. Oyeeeeeeeeeee

blogger templates


Nina furaha kupita maelezo, sijui nisemeje, ila ninamshukuru Mungu kwa kila jambo na kutuwezesha kuuona mwaka huu 2012, ni wengi walitamani kuuona ila mungu amewapenda zaidi,

Mwaka huu nimejiwekea malengo yangu, na ninamuomba mungu aniwezeshe, anilinde, niweze kufikia malengo.

As you can see, we are very happy and my kid, all I can say he is everything to me, na nimefurahi sana kusherehekea mwaka mpya na mtoto wangu, some times siamini kama ni mama kwa furaha,,,,,,,,,

Naomba mungu mwanangu mungu akulinde, akuepushie na magonjwa, mabaya yote, uje uwe mwanaume mwenye kuheshimu wote, mchapa kazi, etc.......

Nawapenda wotee...........

0 Response to "We have made it to 2012.. Oyeeeeeeeeeee"

Posting Komentar