Rabu, 07 November 2012 Spreading light and happiness... I have a little ritual of picking up new diyas every Diwali. A pair of whatever catches my fancy. So when I saw these ceramic sunflower di...
Interior 01.56 Mali mpya......Mito ya kwenye sofa, sakafuni, na kitandani...(mito na foronya zinatengenezwa na Homez Deco...karibu ujionee tofauti ya mito yetu, na haitoi harufu ni misafi nani soft) Mito hii iko tayari kwa kuuzwaaa Mito hapo juu iko tayari kwa kuuzwa....imejaa vizuri, muonekano wake mzuri, na pia ni soft sio migumu...n...
Interior 01.28 Nakushukuru Mungu kwa kuendelea kutuwezesha...... pole pole ndio mwendo....Haraka haraka..... Heavy duty machine Fundi akishona neti Ofisi yangu kwa sasa.....panavyoonekana... na hizo hapo juu ni sample za rangi yaani hizo za juu, ...
Interior 00.35 Rangi za watoto vyumbani....... Age 4-8 Boys Age 8-13 Girls Teens 13+ Hizi ni rangi za watoto zinazotumika kwa asilimia kubwa.... Rangi hizi zinaweza kutumika sio tuu uk...
00.23 Jayd amekua sasa....Namshukuru Mungu kwa kunikuzia...... Mama na mwana..... Jaydan akitafakari jambo..... Mama Jaydan Watoto wangu......Wakwanza kushoto ni Tevin, Terrence na Jaydan (watoto wa ...
Curtains Selasa, 06 November 2012 Kazi ya homez deco.....Temeke.....wiki iliyopita Kazi ikiwa imekwisha.....ya pazia Sitting room inavyoonekana ikiwa tayari tumekwisha weka pazia.... Dinning room nayo ikiwa iko tayari tu...