Haya maua yako hapa tanzania kwetu jamani. ila sikui kwa nini hayatumiki, tumezoea tu kuwe maua ya borders tuuuuuuuuu etc. tubadilike enyi mnaopewa tenda za kutengeneza city garden, maua ni mengi sanaaaaaaa, yanayostahimili jua, hebu emagine kila round about ingekua ina theme yake ingekuaje? ............
I, awalys ask my self why can,t we ? love our natural environmental, and protect it god gaves us free, wild life,
marine life, forest and so many . things . tuyapende mazingira yetu tuyatunze acheni kukata miti hovyo kuchoma moto,
misitu, kuharibu vyanzo vya maji, uvuvi haramu, wa kutumia, dynamites mnaangamiza mazalio ya samaki, na viumbe wengine wa majini, wanajamii kila mmoja wetu ana jukumu la kulinda mazingira yanayomzunguka iwe ni mto kijito,
kichaka, daraja nk kutupa taka hovyo,wasafiri wenzangu unaposafiri usitupe mifuko ya karatsi chupa za maji taka ngumu barabani, nitabia mbaya sana wanyama wanakula huo uchafu wa mifuko machupa matokeo yake wanayama wanakufa, acheni acheni, ukisafiri kusanya mabaki ya vyakula chupa za maji tupa kwenye pipa la taka mwisho wa safari yako, na siyo ndani ya basi, kama wengine mnavyofanya jali ,maisha ya viumbe wengine, hata Tanzania inawekana miji yetu ikawa misafi, majumbani sehemu za kazi, kwenye migahawa, , kwenye masoko ya vyakula, hizi sehemu zote lazima ziwe safi, zisipokuwa safi ni chanzo kikubwa sana cha milipuko ya magonjwa, kila leo kipindupindu kinauwa kwa sababu ya uchafu, unatupwa hovyo,muingiliano wa sewage system ,na mabomba ya maji, ya kunywa. baadhi ya wanajamii hamcheshi maji mnakula vyakula vya baridi, ambavyo zimezungukwa na mainzi, kila mara ndio maana,
ugonjwa wa kipindupindu akiishi, ila usafi ukizingatiwa milipuko ya magonjwa itaisha K una tabia zingine ambazo zinanikera binasfi, unapokohowa ziba mdomo wako tumia kitambaa kisafi uteme makohozi hovyo fukia na mchnga lingine wanajamii, acheni kuweka vidole puani, tumia lesso, siyo vidole unatoka hapo unamsalimia m mtu kwa vidole vichafu au unauza matunda au vyakula bila kunawa mikono, ni uchafu , uchafu, unaonikera sana hiyo yote ni sehemu ya mazingira, tunavoishi, na yakila siku wafundsheni watoto wenu, wanafunzi hata wanajamii nzima umuhimu wa usafi
ktk jamii, miji, mashuleni vyuoni nk naamini tunaweza kwenye nia siku zote kuna njia asanteni
sana mdau wa mazingira ktk idara mbalimbali.

Massage toka kwa Jossyanne.
0 Response to "Weka mazingira safi"
Posting Komentar