Uwaga tunapata kazi maeno tofauti tofauti, inaweza ikawa to mowing the lawans kukata majani kwa kutumia tractor au inaweza kupanda maua sehemu za maofisini so or to prun to cut down the tree limbs or twigs
so inakuwa rahisi kwa kuwa tuna vifaa vyote, ukiwa huna vifaa wapendwa inachukuwa muda mrefu sana unachoka na hilo jua la dar, joto kazi inakuwa ngumu ila polepole tutafika tuu, pia jambo lingine linalokera ambalo wapanda maua wengi walinilalamikia ni wateja kutojali kazi za magardeners wanawalipa kidogo sana au mtu atoe nusu kumalizia nusu inakuwa taabu, sisi ktk kazi zetu hatuitaji usumbufu sitaki kabisaa kitu cha kwanza ukiitaji huduma toka kwetu lazima tufike nyumbani kwako au kazini au sehemu ya bihashara tufanye tathimini ya kazi, itagarimu kiasi gani? tupange kabisa budget maana ni muhimu. anayefanyia kazi ajuwe kabisaa ni kiasi gani itagarimu siyo tena tuanze kulaumiana, kuna baadhi ya vitendea kazi havinaga bei maalum, pia tuangalia suala la umbali, suala la maji na umwagiliaji ni suala ambalo ni mteja tutakuelekeza
ni wakati gani umwagilie, na saa ngapi maana wengi wenu amjui umwagilia saa ngapi so tutazidi kuelimisha
wadau asanteni.
0 Response to "HIZI NI BAADHI YA KAZI TULIZOZIFANYA, LAST SUMMER"
Posting Komentar