Popote pale mazingira yanaweza kuhifadhiwa vizuri na kutunzwa vizuri. (Mrs. Jossyanne in Lushoto - Tanzania)

blogger templates



Lushoto nilikupenda sana, kwa kila kitu kwa hiyo wananchi wenzangu tupunguze tarumbeta tufanye kazi , tuelimishane khs mazingira wapendwa,
  tushirikiane, kuweka nchi yetu ktk hali ya usafi kuna, kuna baadhi ya miji ni misafi sana kwanini DAR mshindwe ??? mi ili suala la malundo ya taka ktk vituo vya mabasi, mbele ya mashule ni aibu, tukumbuke magonjwa yanaanzia hapo kuna wanao tililili sha maji machafu mitaani, suala hili sheria zichukuwe mkondo wake jamani, usafi ni kwa kila mtu. siyo kila kitu serikali. tuache hizo kasumba. tupende mazingra na kuyalinda acheni kukata miti hovyo. ukikata miti panda miti tuwafundshe watoto pia kutunza mazingira na kuyalinda. mungu awabariki wote, asante.

0 Response to "Popote pale mazingira yanaweza kuhifadhiwa vizuri na kutunzwa vizuri. (Mrs. Jossyanne in Lushoto - Tanzania)"

Posting Komentar