Rabu, 20 Januari 2010 Vyombo na maana zake Tumekuwa tukiduwaaa pale ambapo umealikwa kwenda dinner kwenye hotel kubwa na ukifika mezani jasho linatutoka, kwamba unaona vyombo ni vingi na hujui uanze na kipi kwanza, haya leo nimeonelea tuangalie maana ya kila chombo.
0 Response to "Vyombo na maana zake"
Posting Komentar