Atakuwa na muda mfupi wa kuwa nasi hivyo itakuwa First In First Out ndio itakayo apply
Itakuwa kama hivi:
- Tutakuja kuona nyumba yako na kupiga picha eneo lote
- Utatoa kiasi cha sh. 35,000/= kwa kazi ya kusavei na kupiga picha
- Tutakutajia gharama ndani ya siku 2
- Unatakiwa kutoa 1/4 ya gharama kwa ajili ya booking, hii itatusaidia kuto ku ghairisha na kupoteza muda. Ukisha fanya booking na kulipa hicho kiwango ni kwamba gharama haitarudishwa.(We are professionals)
- Utapewa risiti ya ku cornfirm booking yako, tafadhali itunze.
- Hatutapenda usumbufu wowote ule ujitokeze kwenye malipo, baada ya kazi.
- Malipo yote yaliyosalia yamalizwe baada ya kazi kufikia karibu na kuisha. Asanteni sana, na nawatakia kila la kheri.
0 Response to "Landscaping Lady Will be in town very soon in End of March, 2010"
Posting Komentar