KUNA UBAYA GANI DAR YETU IKAPENDEZA HIVI,

Ni jukumu la kila mmoja wetu kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi za kitaifa tuambizane ukweli tuache kuzunguka mibuyu acheni kutupa uchaf...

2012 RESOLUTIONS. KUHUSU USAFI WA MAZINGIRA NA MIJI, MIDOGO .

Pamoja na Miji mikubwa ya nchi yetu, nawaombeni wa dau wa mazingira popote mlipo mwaka huu uwe wa usafi, ktk miji yetu, makazi, maeneo ya ...

Haya, hii ndivyo ilivyokua kwenye interview na capital radio leo......

Interview ilikuanza saa sita mchana, na nilihojiwa na Sara, ilikua ni kuhusu kupamba living room yenye space ndogo, so maelezo yakawa kama y...