Leo naomba tuone.....hii sehemu ya nchi ya ngazi kwa wenye nyumba za ghorofa....
mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hua asilimia kubea kunawekwa viatu..ama kuna choo kwa mbele...ama ndio stoo....na inakua haina mpangilio mzuri....
nadhani katika picha hizi hauta weza kiko desin katika nyumba yako...kuweka...na pakaonekana vizuri..na penye mvuto zaidi...
Interior
Senin, 07 April 2014
0 Response to "KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA......"
Posting Komentar